Tuesday, September 15, 2020

UBUNIFU RAHISI WENYE SOKO; WATEJA WANAPATIKANA WASAPU.


Huu ni ubunifu (designing)/ utengenezaji wa picha za GRAPHICS na kuziuza kwa urahisi—kwa watu wanaopatikana wasapu...

Picha za GRAPHICS ni kama vile: matangazo ya biashara, matangazo ya matukio mbalimbali, makava ya vitabu, business card, invitation cards, logo, kalenda, na nyingine nyingi za namna hiyo.

Huduma hii ni rahisi pia kuianzisha. Hii ni kwa sababu: unaweza kujifunza kwa urahisi mtandaoni na kujitangaza kwa watu wengi waliopo wasapu, kuwa unatengeneza Graphics hizo.


Watu waliopo wasapu ni wengi sana vilevile wahitaji wa GRAPHICS hizo ni wengi pia.

Ukitaka kuwahudumia watu wengi waliopo wasapu; ni rahisi pia.

Utawatengenezea Graphics hizo na kuwapa katika fomati za picha na PDF halafu wao wanakulipa kwa M-pesa, T-Pesa, Halopesa, Tigo Pesa, Airtel Money n.k wakiwa kule waliko.


Kuna maelekezo ambayo nimeyaweka kwenye kitabu cha PDF ambacho ukishanunua pia unatumiwa audio...za vipengele vyote...

Bei ya programu ni Tsh 7,000; kuna ofa ya muda mfupi, kwa bei ya Tsh 4,500 badala ya tsh 7,000.

YALIYOMO KWENYE KITABU [PDF] & AUDIO ZA PROGRAMU.
i). Njia na App rahisi kuitumia kutengeneza 'Graphics' nzuri na rahisi— kwa simu janja (smartphone) tu.

ii). Jinsi ya kuwa na blogu rahisi ya bure kwa ajili ya kutangazia Graphics zako —Blogu ya kufungua mwenyewe [bila uzoefu] ndani ya dakika chache.

iii). Jinsi unavyoweza kuitumia Whatsapp, kupata wateja wengi wa Graphics zako.

iv). Unawezaje kuwahudumia watu walio mbali, wanaohitaji kutengenezewa Graphics—wakiwa kule waliko?

Ofa ya siku chache; Tsh 4,500 badala Tsh 7,000



No comments:

Post a Comment

FURAHA YANGU KWA WATUMIAJI WA WHATSAPP.

  KUTENGENEZA UHAKIKA WA WATEJA KUPITIA WHATSAPP; mbinu hizi ni kwa ajili ya biashara yoyote uliyonayo na kwa ajili pia ya huduma zozote una...