Monday, August 31, 2020

HITAJI LAKO LINAPATIKANA UKIWA POPOTE.


Kuna huduma na programu zinazofaa kwa ajili yako; ukiwa popote ulipo. Hii ni kwa sababu zinatolewa vizuri kabisa kupitia mtandao wa intaneti.

Utakubaliana na mimi kuwa; programu na huduma hizi zinakidhi hitaji lako ukiwa popote.

Hakuna aliyeziangalia kwenye orodha iliyopo hapa ninapotaka kukupeleka, halafu akakosa hata moja iliyomfaa kwa wakati huo.
Naamini pia ukiingia HAPA na kuziangalia; ipo programu au huduma moja au zaidi, inayotimiza hitaji lako mojawapo la sasa.


KUUZA KWA WATEJA WENGI—KUPITIA WASAPU.

COMMON ONLINE MERCHANDISING HOME (COM-H).


Ili utangaze bidhaa na huduma zako sawasawa—kwa wateja wengi na wa uhakika waliopo wasapu.

•~• Ukiwa hapa; wateja wako ni wengi na hawana kikomo.
•~• Wafanyabishara kuwafikia watu wengi sana wanaopatikana kwa urahisi kupitia wasapu ndani ya muda mfupi.

Nakukaribisha sana rafiki, kwenye programu yetu ya kuongeza ufanisi wa kuwafikia na kuwapata wateja wengi na wa uhakika kupitia mawasiliano ya wasapu. Programu hii pia inahusisha nyumba yetu ya mtandaoni; mahali utakapoweza kutangaza biashara au huduma yako kwa ufanisi mkubwa sana, na kujichotea wateja wako wengi na wa uhakika—miongoni mwa mamilioni ya watu wanaotumia WhatsApp.

Unaunganishwa na watu wengi sana—ndani ya muda mfupi—kupitia wasapu.

Tunazingatia kufanikisha jambo hilo kwa ufanisi mkubwa sana—kupitia namba nyingi tulizokusanya na kuzihifadhi kwenye mfumo wetu; vile tunaendelea kukusanya na kuhifadhi (save) nyingi zaidi kwa haraka—kwa ajili ya wafanyabishara waliopo kwenye programu..


Yaliyomo kwenye programu hii ni:
SEHEMU YA KWANZA: MFUMO WA UTENDAJI WETU.
  1. Jinsi tunavyofanikisha mambo haya kwa ajili yako.
  2. Wewe mfanyabiashara (mwenye bidhaa/huduma) utafanya nini na kunufaika vipi?
SEHEMU YA PILI: KUONGEZA UFANISI.

  1. Posti yako pekee.
  2. Umuhimu wa posti yako pekee.
  3. Kujichotea wateja wengi zaidi kutoka WhatsApp—wanaofika kwenye posti yako pekee [kwa uhakika na utulivu].
  4. Tengeneza sasa; dokumenti rahisi ya PDF (softcopy) inayobeba na kutembeza duka lako—kwa urahisi sana mtandaoni—kupitia Whatsapp.
  5. Jifunze kukusanya na kuwa na hazina kubwa ya kudumu; hazina ya namba nyingi sana za wasapu (saved whatsapp contacts)—kwa njia nzuri, rahisi na haraka.

UFAFANUZI WA KINA KWA SEHEMU HUSIKA : 

SEHEMU YA KWANZA: MFUMO WA UTENDAJI WETU.
JINSI TUNAVYOFANIKISHA MAMBO HAYA KWA AJILI YAKO.

a) Tunayo njia mpya ya kukusanya na kuhifadhi (save) namba nyingi za watumiaji wa wasapu, kwa urahisi na haraka; kutoka katika vikundi mbalimbali vya wasapu—vile ulivyomo na baadhi ya vile usivyokuwemo ndani yake.

b) Tunawaunganisha wafanyabishara na wateja wao wengi na wa uhakika kupitia mawasiliano ya uhakika ya whatsapp [kwa namba nyingi tulizokusanya na kuzitunza vizuri; na zile tunazoendelea kuzikusanya (collect) na kuzihifadhi (save) vizuri.

c) Tunayo blogu rahisi kwa ajili ya posti binafsi za kuonyeshea kwa utulivu; bidhaa na huduma za kila mfanyabishara aliyepo kwenye programu yetu—kwa utulivu. (https://comh8.blogspot.com)

d) Tunayo maeneo ya pamoja kwa ajili ya majadiliano na kuendelea kujengana na kuweka mahusiano mazuri miongoni mwetu na wale wote wanaohusika kwenye programu yetu. Hapa ni vikundi vya wasapu [online- Merchandising Homes/houses (001- 100)].



WEWE MFANYABIASHARA (MWENYE BIDHAA/HUDUMA) UTAFANYA NINI NA KUNUFAIKA VIPI?
  1. Mfanyabiashara utalipia elfu saba (Tsh 7,000) mara moja tu, ili posti yako itengenezwe na kuwekwa kwenye blogu ya COM-H. Ni muhimu kuwa na posti binafsi yenye vitu vyako tu (inayoonyesha picha za kila bidhaa, taarifa muhimu kuhusu bidhaa husika; pamoja na mawasiliano ya kumleta mteja wako moja kwa moja kwako—kupitia API ya wasapu).
  2. Utapewa namba za wasapu mia saba (700) bure, za kuanzia programu kwa vitendo.
  3. Utapewa kitabu cha maelekezo yote juu ya namna ya kuzifaidi namba hizo. Namna ya kumfikia mtu mpya kupitia wasapu; katika namna itakayoweka mazingira ya yeye kuwa tayari kukusikiliza na kuhudumiwa na wewe.
  4. Ukihitaji namba nyingine zaidi za wasapu atapewa kwa punguzo kubwa, kwa bei ya Tsh 20/c. Yaani kwa mfano, baadae ukahitaji kuongeza namba za wasapu nyingine; utapewa namba hizo kwa kulipia kiasi kidogo sana cha Tsh 20 kwa kila namba ya mtu mmoja.
  5. Utaendelea kuwepo kwenye vikundi vyetu vya wasapu (online- Merchandising Houses) kwa ajili ya kupata mrejesho na majadiliano mengine muhimu—ili kufanya maboresho. Utawasilisha changamoto zako ili pia kujua maendeleo yako katika utekelezaji wa mbinu za programu yetu. Katika vikundi hivi tunawasikiliza wafanyabishara wote waliopo kwenye programu hii, ili kuendelea kuimarisha na kujenga programu katika namna nzuri zaidi.


SEHEMU YA PILI: KUONGEZA UFANISI.

  1. Posti yako pekee.
  2. Umuhimu wa posti yako pekee.
  3. Kujichotea wateja wengi zaidi kutoka WhatsApp—wanaofika kwenye posti yako pekee [kwa uhakika na utulivu].
  4. Tengeneza sasa; dokumenti rahisi ya PDF (softcopy) inayobeba na kutembeza duka lako—kwa urahisi sana mtandaoni—kupitia Whatsapp.
  5. 5.Jifunze kukusanya na kuwa na hazina kubwa ya kudumu; hazina ya namba nyingi sana za wasapu (saved whatsapp contacts)—kwa njia nzuri, rahisi na haraka.
Maelekezo ya sehemu hii ya pili tumeyaweka kwenye audio, inayopatikana kwa wasapu.

Ikiwa unahitaji kuingia kwenye programu hii karibu kwenye kikundi chetu cha wasapu; jiunge kwa KUGUSA HAPA [CLICK NOW]


IKIWA UNAHITAJI KUPATA MAELEKEZO KWENYE DOKUMENTI YA PDF, INAPATIKANA KWA KUIPAKUA HAPA [DOWNLOAD pdf] WASAPU.



MAARIFA MENGI MTANDAONI.


MAARIFA MENGI MTANDAONI.

"Mtandaoni ni mahali penye fursa nyingi 
unazoweza kufaidi katika hali yoyote ulinayo hata sasa." Unahitaji tu kuwa na:

1. Hiyo Simujanja (smartphone) 
2. Kifurushi cha intaneti
3. Muda wako wa ziada na 
4. Maelekezo sahihi ya kuanzia hapo ulipo.
Unaweza kuona baadhi ya maelekezo kwenye programu zetu kwa kusoma POSTI ILIYOPO HAPA (CLICK).

Emmanuel Online School and Library (EOSL); tunakusudia kwa maelekezo yaliyopo katika PDF na audio, kukuelekeza mambo unayoweza kuanza au kuongeza ufanisi wa kuyafanya mtandaoni—kwa kutumia smartphone yako na kwa kuwafikia watu wengi waliopo wasapu.

Jambo hili ni rahisi kulitekeleza kwa sababu: ukiwa mtumiaji wa wasapu, hautakiwi kuhangaika ni wapi utapata wateja. Ndiyo maana tunayo programu pia; yenye maelekezo mazuri jinsi ya kufaidi Idadi kubwa ya watu tulionao kwenye Messenger ya wasapu.

Katika programu hiyo utaweza kugundua namna wasapu inavyoweza kukupa wateja wengi na wa uhakika—ndani ya muda mfupi; kwa biashara yako yoyote uliyonayo. Hii ni kwa sababu : hata kama mtu hanunui leo, wateja wengi na wa uhakika katika siku za usoni ni wale wanaoweza kuandaliwa kwa utulivu kwanzia leo.

Programu zetu zinazoweza kukuongezea ufanisi zipo HAPA pia au ingia kwenye POSTI YENYE ORODHA YA PROGRAMU HIZO KWA KUGUSA [HAPA].


KARIBU KWENYE DARASA LETU PIA LILILOPO WHATSAPP; KWA LINK ILIYOPO HAPA CHINI:
https://chat.whatsapp.com/JwyCRcLALyDLfVEwzeXjP0





Emmanuel Online Gadgets Designs.
+255 743 517 138


FURAHA YANGU KWA WATUMIAJI WA WHATSAPP.

  KUTENGENEZA UHAKIKA WA WATEJA KUPITIA WHATSAPP; mbinu hizi ni kwa ajili ya biashara yoyote uliyonayo na kwa ajili pia ya huduma zozote una...