Monday, August 31, 2020
MAARIFA MENGI MTANDAONI.
MAARIFA MENGI MTANDAONI.
"Mtandaoni ni mahali penye fursa nyingi
unazoweza kufaidi katika hali yoyote ulinayo hata sasa." Unahitaji tu kuwa na:
1. Hiyo Simujanja (smartphone)
2. Kifurushi cha intaneti
3. Muda wako wa ziada na
4. Maelekezo sahihi ya kuanzia hapo ulipo.
Unaweza kuona baadhi ya maelekezo kwenye programu zetu kwa kusoma POSTI ILIYOPO HAPA (CLICK).
Emmanuel Online School and Library (EOSL); tunakusudia kwa maelekezo yaliyopo katika PDF na audio, kukuelekeza mambo unayoweza kuanza au kuongeza ufanisi wa kuyafanya mtandaoni—kwa kutumia smartphone yako na kwa kuwafikia watu wengi waliopo wasapu.
Jambo hili ni rahisi kulitekeleza kwa sababu: ukiwa mtumiaji wa wasapu, hautakiwi kuhangaika ni wapi utapata wateja. Ndiyo maana tunayo programu pia; yenye maelekezo mazuri jinsi ya kufaidi Idadi kubwa ya watu tulionao kwenye Messenger ya wasapu.
Katika programu hiyo utaweza kugundua namna wasapu inavyoweza kukupa wateja wengi na wa uhakika—ndani ya muda mfupi; kwa biashara yako yoyote uliyonayo. Hii ni kwa sababu : hata kama mtu hanunui leo, wateja wengi na wa uhakika katika siku za usoni ni wale wanaoweza kuandaliwa kwa utulivu kwanzia leo.
Programu zetu zinazoweza kukuongezea ufanisi zipo HAPA pia au ingia kwenye POSTI YENYE ORODHA YA PROGRAMU HIZO KWA KUGUSA [HAPA].
KARIBU KWENYE DARASA LETU PIA LILILOPO WHATSAPP; KWA LINK ILIYOPO HAPA CHINI:
https://chat.whatsapp.com/JwyCRcLALyDLfVEwzeXjP0
Emmanuel Online Gadgets Designs.
+255 743 517 138
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
FURAHA YANGU KWA WATUMIAJI WA WHATSAPP.
KUTENGENEZA UHAKIKA WA WATEJA KUPITIA WHATSAPP; mbinu hizi ni kwa ajili ya biashara yoyote uliyonayo na kwa ajili pia ya huduma zozote una...
-
Kuna tofauti kubwa iliyopo kati ya Active Income na Passive Income katika kuingiza kipato kupitia intaneti. UTANGULIZI: Ukielew...
-
KUTENGENEZA UHAKIKA WA WATEJA KUPITIA WHATSAPP; mbinu hizi ni kwa ajili ya biashara yoyote uliyonayo na kwa ajili pia ya huduma zozote una...
-
Huu ni ubunifu (designing)/ utengenezaji wa picha za GRAPHICS na kuziuza kwa urahisi—kwa watu wanaopatikana wasapu... Picha za GRAPHIC...
No comments:
Post a Comment