KIPATO NA MALIPO MAZURI YASIYO NA UKOMO YANAPATIKANA KWENYE MTANDAO WA INTANETI; NDANI YA KITABU NA AUDIO ZA KITABU HIKI UTAGUNDUA MAMBO MENGI, AMBAYO YANAFAIDIWA NA WATU WACHACHE—KWA VIWANGO VINGINE.
UTANGULIZI: Ukielewa tofauti iliyopo kati ya Active Income na Passive Income katika kuingiza kipato halali mtandaoni; utafahamu uhalisia wa uzuri uliopo katika kuingiza kipato kupitia mtandao wa intaneti.
Labda kwa ufupi niseme tu, watu wengine wanafahamu upande mmoja tu wa kuingiza kipato kupitia intaneti. Wengi wanafahamu na waliwahi kufahamishwa vizuri kuhusu kipengele cha Passive Income; mfumo wa kuingiza kipato kwa njia isiyo shirikishi. Lakini kuna njia nzuri zaidi za kuingiza kipato kizuri halali, kwa njia shirikishi za wakati husika (Active Income).
Unapotoa huduma kupitia intaneti; huduma kama kuwatengenezea watu logo na graphics nyinginezo, unapowaunganisha wafanyabiashara na wateja wao—kupitia intaneti, unapowaandikia watu maandishi /dokumenti mtandaoni, unapofundisha mtandaoni n.k hizi ni njia nzuri shirikishi za kuingiza kipato chako (Active Income) kupitia intaneti.
Je, unajua kwa nini tunazitambua njia hizo kama Active Income?
YALIYOMO:
1. Wateja wengi wasio na kikomo—wanakusubiri.
2. Nafasi ya kuanzisha jambo lenye faida halisi [Ukiwa kwenye hali yoyote kiuchumi]
3. Hakuna majira: wakati wote wowote kuna fursa ya kutengeneza kipato.
4. Machaguo mengi ya aina za bidhaa na huduma nzuri; unazoweza kutoa—kupitia intaneti.
5. Inawezekana kuanza na mojawapo kati ya haya mambo manne, siku ya leo!
KUMBUKA: Kitabu kitapatikana mtandaoni kuanzia tarehe 14/09/2020; katika fomati za PDF na audio kwa bei nzuri ya ofa ya kuzinduliwa Tsh 3,500 baada ya hapo bei yake ni Tsh 5,000. Wahi nakala yako siku ya kwanza, Jumatatu, uipate kwa bei punguzo.
—Watakaonunua siku hiyo watapata fursa ya kuunganishwa kwenye kikundi cha wasapu (PRIVATE ACTIVE INCOME—ONLINE) chenye mwendelezo wa mambo yaliyomo kwenye kitabu hiki—kwa muda wa wiki moja.
Ikiwa unahitaji kufahamu lolote kabla ya tarehe ya kuanza kukiuza kitabu; tumia mawasiliano yafuatayo:
0743517138_ call/ sms/ whatsapp.
0738609426_ call.
emmanuellibraries@gmail.com
Ili KUJIUNGA KWENYE KIKUNDI CHETU CHA WHATSAPP KWA AJILI YA UZINDUZI WA KITABU CHETU; INGIA HAPA CHINI KWA LINK HII:
https://chat.whatsapp.com/JP1F4i1LGffFrj0DfPg93c
POSTI NYINGINE NZURI.
1. Kuunganishwa na wateja wengi wa biashara yako yoyote—kupitia Whatsapp [-PROGRAMU YA COM-H]
2. Manufaa ya kujifunza kubuni picha za [GRAPHICS] matangazo ya biashara, business card, matangazo ya matukio, kalenda, makava ya vitabu, logo rahisi za kuziuza kwa watu waliopo whatsapp n.k—kwa kutumia smartphone. [HAPA]
3. Kuuza kwa wateja wengi kupitia wasapu [NAMBA ZA WASAPU ZILIZOSEVIWA TAYARI KWA AJILI YAKO. [HAPA]
4. MTAJI MWINGINE ULIONAO HIVI SASA. [HAPA]
No comments:
Post a Comment